Muigizaji na mchekeshaji maarufu nchini Amri Athuman (Majuto) amesema ameamua kuachana Ally Riyam na kuamua kuingia mkataba na Kampuni ya Azam kama Balozi. |
Mkataba alioingia na Azam ni wa miaka miwili ambapo atakua akifanya kazi kama Balozi wa Azam nchini kote. Pia amemshukuru sana mkurugenzi wa Azamu Bw. Bakharesa, kwani ametoa katika hatua moja na kwenda hatua nyingine zaidi tena ya kimaendeleo kwani nkataba wake haumbani kufanya kazi zake za sanaa kama ilivyokua kwa Ally Riyam bosi wake wa zamani.
0 comments:
Post a Comment