TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, May 31, 2012

PERFECT VISSION KUMTOA LULU.

Uongozi na Wanafunzi wa Sekondari ya Perfect Vission, shule aliyosoma Elizabert Michael (Lulu) pichani, wamesema watatopa mchango kwaajili ya kumuwekea Lulu Wakili mpaka wahakikishe kua anatoka na anakua huru. 
     Akiongea kwa huzuni mkurugenzi wa shule hiyo Michael Kadege, amesema wazo hilo lilitoka kwa wanafunzi wenyewe kwani wanaona aliyekua mwanafunzi mwenzao (Lulu) bado anateseka.

      ''Ni kweli wanafunzi wangu kwa ridhaa yao wenyewe wameamua kuchangisha hela kwaajili ya kumuwekea Elizabert wakili hadi kuhakikisha anakua huru.'' Pamoja na hayo Kadegre aliongeza pia kuwaomba wanafunzi kuwa wapole kwani sheria ndiyo itakayo amua hatma ya Elizabert (Lulu).

0 comments:

Post a Comment