Mpe mtoto nafasi kubwa ya kufanya mambo mazuri hasa anapokua na wenzake, kwani atajifunza mambo mengi sana. |
Kumsikiliza mtoto na kumuelewa ni jambo zuri ambalo humjenga pia katika kujiamni. |
Mtoto yeyote anapaswa kupendwa na kushirikishwa katika mambo mbalimbali ili kumpa fursa ya kujifunza mambo mengi zaidi. |
Wakati mwingine anapaswa kupewa muda wa kuanda kitu chochote anachohisi kitamfaa yeye. |
Asinyimwe muda wa kubuni chombo chochote akipendacho. |
0 comments:
Post a Comment