TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, July 31, 2012

MTOTO ANAHITAJI UHURU....

Mtoto yeyote anastahili Uhuru.
                Kwa kutazama muonekano wa picha hii ni dhahiri unaweza kuhisi kitu fulani, lakini mtoto huyu ni ukweli kabisa anaumia na kuteseka kwa anachofanyiwa ila tu hawezi kusema chochote na pengine akisema hawezi kusikilizwa kabisa, pengine ni kwz utoto wake, au pengine ni mtundu sana au tu ni sababu nyingine ambazo mimi na wewe hatuwezi kuzijua.
           Uhuru wa nafsi ni muhimu kuupata kila inapoitwa siku, maana Amani ndiyo inayomfanya kila binadamu afurahie maisha anayoishi. TUWAPENDE WATOTO WETU NA WA WENZETU PIA.

0 comments:

Post a Comment