TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, July 31, 2012

ODAMA KUJA NA FAMILY WAR....

Slim (kulia) akiwa na Jenifa Kyaka au ''Odama'' wakiwa kwenye maandalizi ya filamu mpya itwayo ''FAMILY WAR''
Sala ikifanyika kabla ya kuanza kupiga picha za Filamu hiyo.
Odama na Mr. Mlawa wakiwa makini kumsiliza Muongozaji (DIRECTOR) kujua ni wapi wanaanzia.

0 comments:

Post a Comment