TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, July 26, 2012

''NITAFUTURU NA WATANZANIA WENZANGU''

Nawatakia wale wote walio kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani na wale walioshindwa kufunga kwasababu mbalimbali.
            Napenda kuwataarifu kwamba wale wote wanaopenda kujumuika kwenye futari pamoja na mimi nafasi ipo wazi kabisa ni kufuata maelekezo tu ya jinsi ya kufika sehemu husika iliyoandaliwa kwaajili ya futari.
          Ili kujumuika nami na kupata mualiko, utaingia kwenye blog yangu ya jacklinewolper.blogspot.com halafu una click sehemu ya mualiko utakuta maelekezo yote hapo. Kwa wale ambao nina mawasiliano nao nita wataarifu jinsi gani ya kujumuika na mimi Asanteni.

0 comments:

Post a Comment