Baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani itanibidi nirudi nyumbani Moshi. |
Maeneo ambayo nitayatumia nia maeneo ya milimani maana yana mandhari nzuri na ya kuvutia. Luhusu ni Filamu gani na ngapi ambazo ntazicheza huko bado ni mapema sana kueleza lakini Location Manager wangu anayejulikana kama Lyumba ameshaenda na amekagua maeneo yote na ameshaweka kila kitu tayari.
0 comments:
Post a Comment