''Namshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka hai mpaka leo hii, pia nawashuru wale wote wanaonipa ushirikiano wa kutosha kwa namna moja au nyingie katika shughuli zangu za kila siku. Tunajua wazi kuwa kuna ndugu zetu wengi sana waliotamani kuiona sikukuu hii ya Eid lakini kwa mapenzi ya Allah ameamua kuwachuku. Hivyo natumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya na nguvu alizonijalia. Pia nilipenda sikukuu hii ya Eid nijumuike na ndugu zangu, majirani na hata marafiki zangu lakini imekua ni ngumu kidogo maana niko kwenye ziara ya kuzungukia mikoa kadhaa kuitangaza 'JB COMPANY' pamoja na Fialamu yetu mpya ya 'MALIPO' Asanteni sana na nawapenda wote. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TASNIA YA FILAMU TANZANIA. | | |
|
0 comments:
Post a Comment