Ile show kubwa na ya kijanja nchini Tanzania, Maisha Plus iko mbioni kurejea tena. Ambapo msimu huu imeboreshwa zaidi na Wadhamini kuahidi donge nono kwa atakayeibuka mshindi wa kwanza. Kwa wale watakao penda kushiriki, fomu zinapatikana KP SHOP lilopo MILLENIUM TOWER, Kijitonyama karibu kabisa na kituop cha mabasi cha Makumbusho. |
0 comments:
Post a Comment