Binadamu tumekuwa na roho za kikatili sana pale inapotokea tumekosea kwa namna moja au nyingine. Hembu tazama picha hii halafu ujiulize ingekua wewe unaadhibiwa kwa kwa kupigwa mawe mpaka kufa ungejisikiaje?
Kwanini mtu anakuibia simu ya isiyozidi hata 15,000/= unampiga mawe mpaka kumuua, kwanini tusingefanya hayo kwa wanaotuibia na kuifilisi nchio yetu?
0 comments:
Post a Comment