Wakati nipo kwenye ziara yangu ya kutangaza kampuni ya 'JB COMPANY' nmegundua watu wengi hatukumbuki asili zetu hasa maeneo tuliotoka yaani vijijini kwetu. Mimi napenda sana kukumbuka kwetu hasa maeneo walipo wazee wetu yaani Bibi na Babu zetu. Hapa anaonekana ni bibi akiwa anajiandalia chakula cha usiku bila hata kujali nia aina gani jiko au kuni anazotumia.
0 comments:
Post a Comment