TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Saturday, October 13, 2012

BONGO DAR-ES-SALAAM KURUDI TENA....

Baadhi wa wasanii wanaounda kundi la Bongo Dar-es-salaam wakiwa location wakati wa upigaji picha wa Tamthilia hiyo inayotarajiwa kuruka tena. Mkurugenzi wa kundi hilo Kurwa Kikumbwa 'DUDE' amesema bado hajajua ni Televission gani atapeleka mchezo huo ili wananchi waweze kujionea matukio yanayofanywa na watu wengi hapa mjini hasa ya kitapeli na wizi.
Kushoto ni Kupa akiwa na Baki wakiwa location kwa kusubir vipande vyao.
Chidy Wa Mbele akiwa onset wakati wa upigaji picha.
Kutoka kulia ni Nisha, Flora Mvungi na mwenzao ambaye jina lake halikufahamika mara moja wakati wakipata chakula cha mchana ili kuendelea na upigaji picha wa Tamthilia hiyo ya Bongo Dar-es-Salaam.

0 comments:

Post a Comment