TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, October 12, 2012

DIAMOND ATOA SHUKRANI KWA MSN AFRIKA.

ASANTE SANA MSN KWA HESHIMA HII MLIYONIPA......


estly nimejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu
juu ya k
Honazi zangu za muziki ninazozifanya, tena kubwa zaidi ni kupewa heshima hii kubwa ya kuwa King of Bongo Flava...kiukweli imenipa matumaini sana ingawa nafsi yangu inaniambia Bado sistaahili kuitwa jina hilo kwani bado nna safari ndefu sana.....
Hakika hii inaonesha ni jinsi gani support yenu mnayonipa kutokana na juhudi ninazozionyesha zinazidi kuzaa matunda  na kufanya muziki wetu wa bongo fleva uzidi kupiga hatua na kufika mbali zaidi......Asante sana Mwenyezi Mungu, Mama na Familia yangu, Management na shukrani kubwa kwako wewe shabiki yangu na mdau mkuu wa muziki huu........Aaaamen! HABARI KWA MUJIBU WA THISISDIAMOND.

0 comments:

Post a Comment