TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, October 5, 2012

MISS WORLD PROGRESS APATA AJALI MBAYA YA GARI.

Julieth William Lugembe ambaye alikua Miss World Progress amepataajali mbaya ya gari ambayo imepelekea gari yake ndogo kuharibika vibaya,
  Hata hivyo akiongea na mdau wangu wa Blog hii, amesema ajali pamoja na ilikua kubwa lakini anamshukuru Mungu sana kwani ametoka salama bila tatizo lolote.

0 comments:

Post a Comment