TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, October 2, 2012

TUNAJITAHIDI KWENYE MAKE-UP JAPO BADO TUNASONGA MBELE.

Kijana akiwa ametengenezwa uso ili kupata sura ya kutisha katika utengenezaji wa Filamu. Ni hapa hapa Tanzania wadau wangu.
Hapa tayari kwa kuingia onset kuanza kupiga picha za Filamu yenyewe....
Tayari action inaendelea....
Kijana wa katikati ndiye aliyehusika vilivyo katika kuhakikisha vijana hao wanakua kama wanavyoonekana. Tunaweza sema hajapatia sana sana lakini kijana anahitaji kujitahidi kujifunza sana na kuhakikisha anaboresha zaidi kipaji chake. Tumuunge mkono kijana.

0 comments:

Post a Comment