TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, November 1, 2012

JB KUHAMIA ZAMBIA.

Nguli wa kiwanga cha Filamu Tanzania Jacob Steven 'JB'' au THE BIG SIMBA, amesema ana mpango wa kuhamishia kazi zake nchini Zambia.
    Alipokua akizungumza hayo alisema atatoa Filamu ya mwisho ambayo itatoka mwezi wa kumi na mbili ndipo ataondoka kwenda Zambia. Safari hiyo amesema anatarajii kuondoka mapema mwakani. 
     Pia alipouulizwa kama ni soko la Tanzania halilipi ndiyo sababu iloyompelekea khamia nchini Zambia, alisema kua ni katika kupanua soko lake na kampuni yake ya Jerusalem Film Company. 

0 comments:

Post a Comment