TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Saturday, February 16, 2013

FLORA NA SHILOLE KUNANI????

Kuashoto ni Shilole na kulia ni Flora Mvungi, ambao siku za karibuni wameku na kutoelewana kidogo kwa kile kinachodaiwa kua ni Shilole kwenda kwenye vyombo vya habari na kumsema vibaya mwenziye 'FLORA' kua napotweza muda wake kua na mahusiano na H. Baba ambaye ni mwanamziki pia ni mpenzi wa Flora Mvungi. Lakini picha inazua maswali kidogo kua ni kweli wanamgogoro au ni kastika kutafuta kusikika?

0 comments:

Post a Comment