Icon wa kiwanda cha Filamu Bongo, Hemed Suleiman ''Phd' amelalamikia watu wanaotumia jina lake vibaya kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook, kua kuna watu wanaotumiqa jina lake kuomba watu fedha, kutongoza wanaewake kitu ambacho amekikana vikali. Hata hivyo amesema hatumii kabisa mtandao huo wa kijamii wa Facebook na badala yake mashabiki wake wamfate Twitter, na anapatikana kwa @hemedyPHD. | ' |
0 comments:
Post a Comment