Kundi la muziki la Tip Top Connection, limetangaza ajira wa wasanii wa kuigiza kuanzia umri wqa miaka 18 na kuendelea kwa lengo la kukuza vipaji vya wasanii wachanga ambao hawajapata nafasi ya kutoka. Akiongea na mdau wangu mratibu wa shughili nzima ya kupokea wasanii Husna Idd ''SAJENT'' alisema mchakato wa kuwapokea utafanyika Jumapili ya tarehe 24/02/2013, ofisini kwao maeneo ya Kagera njia panda ila kwa mawasiliano zaidi wapige namba 0715338776 ili kupata maelewkezo zaidi. |
0 comments:
Post a Comment