Raia mmoja wa Uingereza akamatwa akifanya mapenzi na Ambulensi.. hii
ni Baada ya ya Bwana Callum Ward mwenye umri wa miaka 25 kujipasha
mtotisha kwa kula njugu karanga. Baada ya kepelekwa mahakamani bwana
Callum Ward atozwa faini ya Pauni 60(£60) na kepwa adhabu ya kufanya
kazi katika eneo la umma bure kwa miezi sita. Na huko Scotland sikitambo sana bwana mmoja alikamatwa uchochoroni akifanya mapenzi na baiskeli yake. Hata hivyo magazeri ya Uingereza likiwemo gazeti la Telegraph hayakueleza alikuwa akifanya mapenzi vipi na baiskeli hiyo. |
Tuesday, March 12, 2013
DUNIA INA MAMBO-AFANYA MAPENZI NA AMBULANCE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment