Mtoto huyu anaonekanae kwenye picha kwa haraka haraka anaonekana yuko kijijini na maisha anaishi ni duni kabisa, sasa swali la kujiuliza ni kazi zipi anastahili kuzifanya mtoto kama huyu awapo nyumbani ikiwa ni mwanafunzi? Je? Mtoto kama huyu anahitaji kuwa na msichana wa kazi? |
Tuesday, March 12, 2013
NI KAZI ZIPI MWANAFUNZI ANATAKIWA KUZIFANYA NYUMBANI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment