Ajali mbaya iliyohusisha magari matatu imetokea katika barabara ya Chang’ombe jijini Dar es salaam na kusababisha msongamano mkubwa wa magari; na watu kuchota mafuta yanayomwagika kutoka kwenye Lori hilo.Kwa mujibu East Afrika Radio, Lori la mafuta lililokua likitokea bandarini kuelekea Ubungo liligonga daladala na kupinduka. na kuziba barabara ya Chang’ombe. Hakuna mtu aliyepoteza maisha na taarifa za kuhusu majeruhi hazijapatikana bado. |
Wednesday, May 22, 2013
AJALI MBAYA YA GARI LA MAFUTA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment