TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Wednesday, May 22, 2013

SINA MAHUSIANO NA SHILOLE -TIMBULO.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Timbulo, amekana uvumi unaoenea mitaani kua ana mahusiano wa kimapenzi na Msanii wa Filamu Tanzania Zuwena 'SHILOLE' akiongea kwa njia ya simu Timbulo, alisema uvumi huo hajui ni kwanini unavumishwahivyo na ni kwa nini huyo mtu ameamua kuvumisha hivyo. ''Kiukweli sielewi huo uvumi unatoka wapi wakati mimi niko na mpenzi wangu mda mrefu sasa na sitaki kumkwaza kwa lolote hasa hizi skendo za wanawake. Mimi sina mahusiano yoyote na huyo Shilole na wala sina ukaribu naye.'' Aliyasema hayo Timbulo alipokua akizungumza kwa njia ya simu. Nilipomtafuta Shilole kuzungumzia swala hilo sikumpata kwenye simu lakini nitazidi kumtafuta ili kupata ukweli wa jambo hili.

0 comments:

Post a Comment