TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, May 7, 2013

ROSE MUHANDO AMPIGA BAO DIAMOND.

Mwamamuziki wa Muziki wa Injili Tanzania, Rose Muhando amefanikiwa kuwapiku Wasanii wengine wa Muziki huo wa Injili na Muziki wa Bongo Fleva kwa mauzo ya Miito ya simu (RING TON).  Ambapo kwa muda miezi mitatu amejikusanyia kiasi cha shilingi milioni 29 akifatiwa na Mwanamuziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul Juma 'DIAMOND' ambaye amejikusanyia milioni 21kama mauzo ya miezi mitatu.

0 comments:

Post a Comment