![]() |
Hapa nikiwa na Mheshimiwa Mbunge Idd Azzan kabla ya mpambano usiku wa matumaini. |
![]() |
Kutoka kushoto, ni mdau wangu wa blog Mr. Gaston Kissombe (LYUMBA), Khanifa Daud au wengi wanamjua kama Jenifa, Jacquline Wolper mwenyewe, Mheshimiwa Idd Azzan, pamoja na Ant Ezekiel. |
![]() |
Sasa niko ulingoni tayari kwa mpambano..... |
![]() |
Kocha akinivisha kifaa maalumu kwaajili wa usalama wangu.... Asante sana kocha wangu.... |
![]() |
Ndonga zikaanza na Haleema Mdee Mbunge wa jimbo la Kawe.... |
0 comments:
Post a Comment