Mwigizaji mkongwe ambaye pia ni mama wa Filamu zetu, Suzan Lewis 'Natasha' Jumamosi iliyopita ilikua ni siku yake ya furaha mara baada ya kufunga ndoa na Bwana Alex Humba Lumila katika kanisa la Mt Joseph lilopo Posta, ambapo shamra shamra zilihamia kwenye ukumbi wa Magereza ulioko Ukonga.
Suzan Lewis 'Natasha' mwenye gauni jeupe akiwa na mumewe mwenye suti nyeusi pamoja na Rais wa shirikisho la filamu Tanzania Mwakifamba mara baada ya kutoka kanisani. |
Vyone Shery 'Monalisa' akiwa akinisani kushuhudia ndoa ya Suzani Lewis ambaye ni mama yake mzazi kabisa. |
0 comments:
Post a Comment