Mfanyabiashara maarufu Erasto Mashine, akiwa Mochwari, ambaye ameuwawa na watu wasiojulika maeneo ya Mijohoroni Mita chache kutoka KIA kwenye saa sita na nusu mchana. Baada ya askari wa usalama kufika eneo la tukio wamekuta risasi zaidi ya ishirini ya bunduki AINA YA SMG. Ikumbukwe kua Marehemu Erasto ni mfanyabiashara waq madini mjini Arusha amabapo habari za uvumi zinasema atakua ameuwawa na mfanyabiashara mwenzake. Nitakapopata habari zaairi zaidi nitawajuza haraka. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ERASTO MAHALI PEMA PEPONI. |
|
0 comments:
Post a Comment