Msanii wa Muziki kizazi kipya Rasheed, 'CHIDY BENZI' amekiri mwenyewe kwa kinywachake kutumia madawa ya kulevyanayeye mwenyewe kukiri kua ameacha kwasasa. Chidy Benzi ametoa tamko hili alipokuaakihojiwa naClouds radio kwenye kipidi cha XXL kinachorushwa na Clouds kila siku yaJumatatu mpaka Ijumaa saa kuanzia saa saba mchana mpaka. saa kumi jioni.
''Kiukweli nikua siwezi kukaa siku bila kuvuta unga, lakini nawashukuru watu wachache wa karibu walioweza kuniambia ukweli kua nimebadilika kuanzia tabia mpaka hata nuru ya ngozi yangu.'' Chidy Benzi amekiri kua ametibiwa na kuchomwa sindano za kumaliza tatizo la kubwia unga kabisa, pia amesema hata pombe anaelekea kuacha kabisa maana kwa sasa hanyi kama zamani.
0 comments:
Post a Comment