Nayazungumza hapa kutoka moyoni kwakweli Naseeb Abdul Dimond platnumz kama anavyojiita, kua ni mfano wa kuigwa na kila mtu. Si kwa Wasanii bali hata katika maisha ya kawaida kua unapoona kitu kimekugusa na unweza fanya kitu juu ya hilo basi fanya bila hata kusubiri mtu. Kitendo cha Diamond kumkabidhi gari nguli wa Muziki nchini, Mzee Ngurumo ni kitu kikubwa ambacho ambacho hata mimi mwenyewe sikutegemea kama angekifanya yeye. |
0 comments:
Post a Comment