DIAMOND AMALIZA BIFU YA MADAM RITHA NA NEY WA MITEGO
Kushoto ni Ney Wa Mitego, Madam Ritha na Diamond Platnumz.
Msanii
wa Hi Hop Tanzania, Ney Wa Mitego amemaliza tofauti zake yeye na
mkurugenzi wa Benchmark Production Madam Ritha wakati Diamond alipo
waalika kwenye uzinduzi wa video yake (DIAMOND) iliyozinduliwa Serena
Hotel usiku wa kuamkia leo. Wakati akionekana Ney Wa Mitego akiwa chemba
na Madam Ritha wakiteta ndipo Diamond alipowasogelea na kuwapatanisha
na kumaliza tofauti zao na kuamua kutoa tabasamu la furaha kwa wote.
0 comments:
Post a Comment