Ajali mbaya ya Basi la Meridiani linalofanya safari zake Daresalaam na Arusha, limepata ajaili maeneo ya Mbewe likitokea Arusha kuja Dar-es-Salaam. Pia bado haijafahamika ni abiria wangapi wamefariki na majeruhi wangapi lakini ni majaeruhi wengi saana. |
Baadhi ya mashuhuda wakisaidia kuokoa majeruhi kwenye ajali hiyo..
0 comments:
Post a Comment