Nawatakia Watanzania wote heri ya sikuku ya Eid, Inshallah washeherekee kwa amani na upendo, pia wale wenye nacho wasiwawasahau wasio nacho na wale wenye kidogo pia wasiwe na choyo. Kwa wale wazazi wanaowaruhu watoto wao kwenda sehemu mbalimbali za starehe peke yao wawe waangalifu kwani siku kama hizi za sikukuu hua kuna kua na mbamo mengi hasa fujo ambazo huweza kuhatarisha usalama wa watoto wao. Naomba jeshi la Polisi kushirikiana na sisi wananchi tuwe makini sana katika kuhakikisha tunasheherekea kwa amani kabisha. INSHAALAH ALLAH ATUFIKISHE SALAMA HIYO SIKU YA EID....
Thursday, August 8, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment