Ni maneno ya nguli wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul Juma 'DIAMOND PLATNUMZ' kua anawashangaa watu wanaovumisha kua amerudiana na aliyekua mpenzi wake wa zamani Wema Isack Sepetu, 'Madam' "jamani kwani watu wakiachana ndio wasiongee? Ukiachana na mtu hakuna haja ya kua na uadui au sababu alicomment kwenye account yangu ya Instagram? Jamani tubadilike ukiachana na haimaaniishi kua muwd maadui" alisema Diamond kwenye ukurasa wake wa facebook.. "I REAL LOVE MY PENNY NA SIJARUDIANA NA WEMA"
Diamond akiwa na mpenzi wake Penny, siku wakisheherekea siku ya kuzaliwa kwa Diamond.
0 comments:
Post a Comment