VICENT KIGOSI (RAY) KUSHOTO NA WEMA ISSACK SEPETU (KULIA) KWENYE MOJA YA MATAMASHA WAKIWA PAMOJA. |
ILHAM WOLPER MASSAWE (KATIKATI) PAMOJA NA WEMA SEPETU KULIA NA RAFIKI YAO KIPENZI. |
WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA AMBAYE NI MANEGER WA WEMA SEPETU PIA NI MWANAMITINDO. |
WEMA NA SWAIBA WAKE ANT EZEKIEL KATIKA MOJA YA ZIARA YAO MKOANI. |
KUTOKA KULIA NI ROMMY JOHNS VIDEO MODAL, AKIFUATIWA NA WEMA SEPETU, PAMOJA NA MARTIN KADINDA. |
STEVEN MENGELE 'STEVE NYERER' AKIWA SAMBAMBA NA WEMA SEPETU KWENYE TAMSHA LA BONGO MOVIE. |
WEMA PAMOJA NA BENI KINYAIYA AMBAYE NI MUIGIZAJI PIA NIMTANGAZJI WA KITUO CHA RUNINGA CHA TBC1. |
WEMA TENA KWENYE PICHA NA WATO KUONESHA ANA UPENDO NA WATU WA RIKA ZOTE. |
KUTOKA KUSHOTO NI WEMA SEPETU, OMOTOLA TOKA NIGERIA NA MWANAMITINDO MAHIRI NCHINI TANZANIA MWANAMBOKA. |
0 comments:
Post a Comment