TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, August 10, 2012

SLIM, MSUNGU NA WOLPER NDANI YA MALIPO....

Msungu akiwa anafanyiwa make-up tayari ya kuanza kazi...
''Chiddy Classic'' na Classic Production akikagua monitor yake kama kipande anachoenda kukipiga kitakua sawa.
Chiddy Classic kushoto akiwa na Director Leah Richard ''LAMATA'' katikati akifuatilia kwa umakini scene iliyokua ikiendelea.
Jacquline Wolper kushoto akiwa na Msungu ''SENATOR'' wakiwa kwenye scene ya Filamu hiyo...
''WOLPER ONSET''......

Msungu akijiandaa kwa scene nyingine....
Wolper, Msungu wakiwa onset kwenye filamu yao mpya....
Msungu yuko makini kusikiliza maagizo ya Director LAMATA...


WOLPER akijiandaa baada ya kufanyiwa make-up.....
Director LAMATA akimpa Wolper maelekezo ya jinsi gani anatakiwa acheze kulingana na scene yenyewe.
Namshukuru Mungu sana kuniweka hai mpaka leo, na kuingia tena Location kufanya Filamu nyingine inayokwenda kwa jina la ''MALIPO'' Pia najisikia furaha sana kufanya kazi na Celebrities kadhaa wa Tanzania katika kazi hii mpya. Ninachoweza kushukuru pia ni wanaonivumilia na kunisubiri mpaka muda wa kufuturu ukifika ndiyo naingia location. Pia mashabiki wangu wasubiri kazi yangu mopya niliyocheza kama MWANAJESHI na ASKARI MPELELEZI ijulikanayo kama ''THE ENGINEER'' na itasambazwa na walewale PAPA-ZI

0 comments:

Post a Comment