TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, November 15, 2011

TRANSFOMA LALIPUKA HUKO MBEZI BEACH MAKONDE.....

Transfoma limelipuka jioni hii ya tarehe 15/11/2011 saa nane na dakika tano jioni huko maeneo ya Mbezi Beach Makonde bila kujua sababu ya mlipuko juo. Wakazi wa maeneo hayo waliokua karibu na eneo la tukio walisema Transfoma hilo lilibadilishwa siku chache nyuma lakini wanashangaa kulipuka bila hata sababu. Lakini muda mfupi baadaye Tanesco walipigiwa simu na kufika eneo la tukio lakini badala yake waliondoka bila kusema chochote labda ni kwasababu ya ukubwa wa tatizo hilo.

Hapa Moshi ukiwa umesambaa eneo kubwa huku wanachi wa eneo hili wakiwa wametawanyika.

Mapaka tunaondoka eneo la tukio kama saa kumi na robo hivi Tanesco walikua bado hawafika baada ya kuaga kuwa wangerudi kubadilisha Transfoma hii.

0 comments:

Post a Comment