Mtoto akiwa amenibusu baada ya kutaka nimbebe.. |
Kabla ya kuanza shughuli nzima kilqa mtoto alipenda kuwa karibu na mimi na mimi siku sita kufanya hivyo. |
Hapa nilikua njew ya ukumbi wa Maisha Club kabla sijaingi ndani kutoa zawadkwa watoto. |
Hata watoto wakipata salamu zetu sisi wakubwa zao wanafarijika. Hapa nilikua natoa salamu kwa wadogo zangu. |
Hata muziki nauweza hapa nikicheza na watoto. |
Huyu ndiye alikua mshindi wa pili wa kucheza muziki siku hiyo. |
Nilimpatia kiasi cha shilingi elfu ishirini (20,000/=) |
Nhuyu ndiyo mshindi wetu wa kwanza wa kucheza muziki, yeye nilimpatia Baiskeli ya miguu miwili. |
Akijaribu kama ni nzima au magumashi |
Picha ya pamoja na mzazi wake. |
Nawapenda sana watoto |
0 comments:
Post a Comment