| Tarehe 25/12/2011 nitajumuika na watoto katika kusherehekea sikukuu ya X-Mass katika ukimbi wa Maisha club muda mchana. |
| Katika pozi tofauti tofauti.. |
| Nitajumuika na watoto pale Maisha Club na pia nitatoa zawadi kwa watoto wote watakaojumuika pale Maisha Club. |
| "Nawapenda sana watoto na najisikia furaha sana kujumuika nao siku hii ambayo ni mhimu kwangu." |
| "NAWAPENDA SANA..... |



0 comments:
Post a Comment