TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, June 18, 2012

X6 NI LANGU NA HAKUNA WA KUNINYANG'NYA.

Nawashukuru sana Watanzania na Mashabiki wangu kwa kufuatilia kila kitu naniachokifanya.

               Uvumi unaonea kwenye mitandao kuwa nimenyang'annywa gari sio kweli. Wakati naendesha Noah watu kimya, nimeendesha Lexus hakuna aliyesema nimenyang'anywa, inakuaje kwenye X6? Kuna ajabu gani mimi kuendesha X6? Wanawake tusijishushe kuonekana vitu fulani hatuwezi kumiliki.
          Nasikitika sana kusikia watu wanavumisha maneno kama hayo. Hivi inakuaje mtu unanyang'anywa gari yako mwenyewe? Nina kila uthibitisho wa kuonesha hii X6 ni yangu na hakuna atakayeweza kuninyang'anya.
              

0 comments:

Post a Comment