TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, June 14, 2012

TULIOMBEE BARA LETU LIONDOKANE NA BAA LA NJAA...

Bara la Afrika ndilo Bara linaloamionika kuwa ndiyo Bara pekee lenye rasilimali za kutosha kabisa lakini wananchi wake wamekuwa wakiishi kwa taabu sana yaani ni maskini.
        Sababu kubwa kubwa ikielezwa ni sera mbovu za viongozi. Lakini kwanini tusubiri viongozi watuletee maendeleo yetu binafsi?

0 comments:

Post a Comment