TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, June 25, 2012

WEMA AFANYA UZINDUZI BILA OMOTOLA.

Wema akiwa ndiyo anaingia ukumbini Kilimanjaro Hotel Kempysk.
Mama Loraa wa kwanza kushoto, akiwa na Steve Nyerere Kulia huku katikakati ni Mama Heriety Chumila nao kwa pamoja waliungana na Wema Sepetu katika uzinduzi wa Filamu ya Wema ''SUPER STAR''
Ben Kinyaiya kushoto na Charles Baba nao walikuwepo.
Ambwene Yesaya (AY) naye ni mmoja wa wageni waalikwa.
Odama kushoto na Vicent Kigosi (RAY) Wakifurahia Wema akiingia ukumbini.
Shilole naye ndani.....
Martin Kadinda Meneja wa Wema Sepetu ambaye ndiye mratibu wa shughuli hii nzima. Pia ifahamike ndiye aliyempendezesha Wema siku ya uzinduzi wa Filanu yake.
Wageni waalikwa wakifurahia sherehe hiyo.
Wema Sepetu katika picha ya pamoja na Mashabiki wake.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini uzinduzi wa filamu hiyo.
Wema Sepetu kushoto na rafiki yake kipenzi.
Mashosti wa Wema, kutoka kulia ni Zamaradi Mketema mtangazaji wa Cloudz Tv na kipindi cha Take One, Imelda mwandishi wa Global Publishrs, pamoja na Snura Mushi.
Wageni wakifuatilia Filamu ya Wema. Ambapo muda ulivyozidi kwenda wageni waalikwa walikua wakiulizia mgeni aliyetangazwa kuwepo kwenye hafla hiyo mbona hakuwepo? (OMOTOLA) toka Nigeria.

0 comments:

Post a Comment