TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, July 12, 2012

ILI UFANIKIWE NI LAZIMA UWEKE MAMBO YAKO, KWENYE RATIBA SAHIHI.

Kila binadamu mwenye akili timamu na aliyepevuka kiakili, ni lazima awaze kufanikiwa, na katika kufanikiwa huko ni lazima kuambatane na malengo.   
   Ili kuweza kufikia malengo yako, ni lazima uweke mambo yako kwenye ratiba sahihi kabisa, kwa mfano mimi napenda kufanya mambo yangu kwenye ratiba ili kuhakikisha siingilii mipango mingine niliyojiwekea.

0 comments:

Post a Comment