Kachala wa Muziki Bongo, Naseeb Abdul a.k.a Diamond amepiga hatua nyingine kimuziki hivi sasa. |
Akizungumza na mimi mwenyewe kama Balozi wa PAPA-ZI, msemaji wa PAPA-ZI, Peter, amesema DVD hizo zitakua mtaani nchi nzima lakini kwa kuanzia wataanza kusambaza Dar-es-salaam ikifuatiwa na mikoani.
''Kitu kama hiki hufanywa na wanamuziki wakubwa kote duniani wanapofanya show kubwa na wanapopiga live, huamua kuziweka kazi zao kwenye DVD ili kuzipeleka mtaani kwaajili ya kuziuza'' alisema Peter. DVD hizo zitaingia mtaani kuanzia tarehe 23/07/2012.
0 comments:
Post a Comment