TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, July 12, 2012

NAPENDA AMANI NASISITIZA AMANI MUDA WOTE.

Mimi ni Mtanzania niliyekulia katika mazingira ya Amani. 

      Katika malezi niliyokulia, nimekua na amani na ndiyo maana mpaka leo hii nimekua nikipenda Amani muda wote. Hua naumia sana kuona mtu au kundi la watu linachochoe uvunjwaji wa Amani hasa pale penye Amani. Unajisikiaje kuishi kwenye Amani halafu unasikia kuna mtu au kundi la watu linataka kukuvurugia Amani uliyonayo? Au mwingine kusababisha wewe usielewane na watu flani kwasababu zake boinafsi? Kiukweli naumia sana. NAPENDA AMANI NA NASISITIZA AMANI.

0 comments:

Post a Comment