TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Tuesday, August 7, 2012

CHUCHU HANSY ALALAMIKIA MTU ANAYETUMIA JINA LAKE VIBAYA FACEBOOK.

Msanii mtaratibu kwenye tasnia ya filamu Bongo Chuchu Hansy, amekua akilalamika kua kuna mtu anatumia jina la Chuchu Hansy na kusema kua yeye ni mtu anajihusisha na vitendo vya kimapenzi vya jinsia moja (USAGAJI) kitu ambacho yeye binafsi anakichukia sana kwani yeye ni mtu mpenda dini na amelelewa katika maadili ya Kiafrika.

0 comments:

Post a Comment