TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, August 13, 2012

TABIA YA MTOTO INAJENGWA NA MZAZI AU MLEZI.

Ni ukweli kwamba, mtoto anapoharibikiwa kitabia sio mtoto wa kulaumiwa
 bali
ni mzazi au mlezi.

Pichani anaonekana mtoto mdogo kabisa mwenye umri kati ya miaka 4 mpaka 6 akiwa anakunywa pombe tena bila ya wasi wasi kabisa. Inaonesha ni dhahiri kabisa mtoto huyu amemuona mzazi wake au mlezi wake akiwa anakunywa na yeye anataka kujaribu kuona ladha ya kitu hicho. Tunapowakataza watoto wasifanye jambo fulani, tuhakikishe na sisi Wazazi au Walezi hatufanyi, au tunafanya maeneo husika.

0 comments:

Post a Comment