TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Monday, August 6, 2012

CHUCHU HANSY AME-LOOSE CONTRAL....


Chucu Hansy kushoto na kijana anayekuja kwa kasi kwenye Tasnia ya Filamu Tanzania Brian katika picha ya pamoja.
Brian kushoto akiwa na Isabela maarufu kama Vai wa Ukweli wakati wa upigaji picha wa filamu mpya iitwayo ''LOOSE CONRAL''
Kojack (aliyesimama) naye ni mhusika pia katioka filamu hiyo.

Hili ni mopja ya matukio ya kusisimua yanayopatikana kwenye Filamu hii ya ''LOOSE CONTRAL''

0 comments:

Post a Comment