Msanii wa zamani Cloud '112' ametoa kiasi cha shilingi elfu hamsini (50,000/=) kama mchancho siku ambayo Wasanii wataenda Mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Bw. Rigobert Massawe aliyekamatwa na akiuza kazi feki za Wasanii. Mchango huo wa Cloud ni kwaajili ya maji kwa wale ambao hawajafunga kwa siku hiyo, kesi itakapokua inasomwa. Pamoja na mchango huo, Clouds ameahidi mchango wake wa T.Shirt mia moja ambazo zitavaliwa siku hiyo ya kuelekea Mahakamani. |
0 comments:
Post a Comment