TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, August 16, 2012

SAJUKI AZIDI KUPATA NAFUU.




Juma Kilowoko ''SAJUKI'' afya yake imezidi kuimarika siku hadi siku. 
 Hata hivyo amewashukuru wasanii wote waliojitoa kwa hali na mali kuhakikisha  afya yake inaimarika. Amemshukuru sana Rais alipokuja kumtembelea Hospital alipokua amelazw kabla ya kuelekea India kwa matibabu zaidi.
  ''Namshukuru sana Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, Wasanii wote, ndugu zangu na w mke wangu Wastara kuwa nami bega kwa bega kuhakikisha napata matibabu ya hali na mali nchini na nje ya nchi (INDIA).
 
Sajuki akiongea wakati wa kikao cha Wasanii kilichofanyika pale Leaders  Club..


''SAJUKI''


0 comments:

Post a Comment