TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, August 16, 2012

HUSNA IDDY (SAJENT) AFUTURISHA...

Yusuph Mlela alikua mgeni mualikwa kwenye Futari hiyo iliyoandaliwa na Husna Iddy (SAJENT) nyumbani kwake Sinza makaburini.

Mwanamuziki anayetamba na wimbo wa ''NIDANGANYE'' Sheta naye alikua miongoni mwa waalikwa....

Wengi marafiki zake majirani zake na walialikwa...

Mya na Ketty....

Wasanii mbali mbali toka Bongo Movie waliungana pamoja katika futari.

Heriety Chumila (Kushoto) na mama Njaidi walihusika vilivyo kwenye mualiko huo...

''NIVA''

Majirani, marafiki na wasio marafiki walijumuika kwa pamoja katika futari ambapo kwa pamoja waliungana Sajent katika Futari hiyo. Sajent naye ambaye aliwahi kuwa Miss Kimwana Manywele alitoa shukrani zake za dhati kwa wale wote waliomuunga mkono katika kujumuika naye kwenye Futari hiyo.

0 comments:

Post a Comment